MSASA Podcast

← MSASA Podcast16 aug · 1 u 19 min

Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY

Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY16 aug1 u 19 min

Send us Fan Mail Baada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana. Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua. Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua? Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa wa kwa nini kitendawili hiki ni cha kaa kule, nikae huku, tumfinye mchawi. 😅 Kila mtu kwenye ...