MSASA Podcast

← MSASA Podcast13. Dez. 2025 · 1 Std. 14 Min.

Tatizo ni kwenye kugawana %

Tatizo ni kwenye kugawana %13. Dez. 20251 Std. 14 Min.

Send us Fan Mail Je unapenda kula? Je wewe ni mnazi wa pilau? Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau? Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint. Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni. Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁