SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili11. Sept. · 13 Min.

Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/11

Makala Leo:Tunachojua kuhusu usalama wakimataifa miaka 25 baada ya tukio la 9/1111. Sept.13 Min.

Ni miaka 25 tangu karibu watu 3,000 waliuawa katika mashambulizi ya Septemba 11, ambayo yalisababisha Vita dhidi ya Ugaidi vilivyoongozwa na Marekani na kuiingiza Australia katika vita nchini Afghanistan na Iraq.