SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahilivor 4 Tagen · 7 Min.

Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasa

Yaliyojiri Afrika:Rais wazamani wa DRC atuhumiwa kwa kujaribu kupindua serikali ya sasavor 4 Tagen7 Min.

Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).