SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahilivor 4 Tagen · 15 Min.

Taarifa ya Habari:Mageuzi ya sheria kuwasilishwa bungeni,kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma

Taarifa ya Habari:Mageuzi ya sheria kuwasilishwa bungeni,kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za ummavor 4 Tagen15 Min.

Kifurushi cha mageuzi ya sheria kitawasilishwa katika Bunge la Shirikisho leo, ili kuweka mipaka ya kisheria kwa silaha za Australia na kuweka vikwazo kwa pesa za umma, uwekezaji na biashara zinazotumika kuunga mkono mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya ubinadamu na uvamizi haramu.