SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahilivor 4 Tagen · 6 Min.

Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)

Taarifa ya Habari:Serikali ya shirikisho yatupilia mbali wazo la kuongeza kodi ya bidhaa na huduma (GST)vor 4 Tagen6 Min.

Taasisi ya Grattan inaitaka serikali kuongeza kiwango cha kodi ya bidhaa na huduma (GST) kutoka asilimia 10 hadi asilimia 15, ikiwa ni sehemu ya marekebisho makubwa ya bajeti.