TANAPA PODCAST

← TANAPA PODCAST1. Juli · 4 Min.

Promo S02 EP01 Ujio wa Msimu wa II wa Podcast

Promo S02 EP01 Ujio wa Msimu wa II wa Podcast1. Juli4 Min.

TANAPA PODCAST | SEASON II

Tumerejea na msimu mpya wenye simulizi, maarifa na mazungumzo yanayokupeleka karibu zaidi na ulimwengu wa uhifadhi, utalii na uwekezaji katika Hifadhi za Taifa 21 za Tanzania.

Tegemea vipindi vilivyoboreshwa, maudhui ya kina, wageni mbalimbali na uzoefu mpya wa kusikiliza.

TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.