← TANAPA PODCAST28. Sept. · 1 Std. 54 Min.
SE02 EP05: Utalii wa Uwajibikaji; Siri ya Uzoefu Bora Kwa Watalii na Uhifadhi Endelevu

Sikiliza mwendelezo wa kipindi maalum uweze kufahamu umuhimu wa kufanya utalii wa kiuwajibikaji kwa Waongoza Watalii na dhima yake ya kutunza mazingira, uhifadhi endelevu, kukuza utalii pamoja na kutengeneza uzoefu usiosahaulika kwa watalii wanaotembelea Hifadhi za Taifa.

Ni ndani ya TANAPA Podcast – Season 2, Episode 05, ni mazungumzo maalum kutoka kwa Waongoza Watalii wabobezi na Wahifadhi wazoefu.

Eneo: Arusha, Tanzania

Mwongoza Kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena

Wageni:

1. Chacha The Ambassador Guide

2. Saimon Sirikwa - Mwongoza Watalii, Black Lion Safaris Limited

3. Fred Shirima - Askari Uhifadhi Mwandamizi - TANAPA

Ni mwendo wa bandika bandua!

TANAPA PODCAST — HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.

#TANAPAPodcast #ResponsibleTourism #TANAPAUpdates #tànzaniaparks