MSASA Podcast

← MSASA Podcast23 Oct 2025 · 1 h 42 min

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka

Sina Kazi Naishi Ninavyotaka23 Oct 20251 h 42 min

Send us Fan Mail Hii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote. Tafadhali share episode hii adimu kwa mtu ambaye ungetamani apate madini kuhusu pesa. #msasapodcast #tegasikio #pesa...