
← MSASA Podcast3 Aug · 1 h 14 min
Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE
Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE
Send us Fan Mail Karibu msasani! 🎙️ Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA. Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye? Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha yetu ya kifedha. Guest: John George Instagram: / georgejn2000 #FinancialFreedom #Inv...