
← TANAPA PODCAST28 Jul · 2 min
Promo S02 EP02 - Zifahamu faida za ujirani mwema zitokanazo na uhifadhi kwa jamii
<p>Jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa zinanufaikaje na uhifadhi? Sikiliza simulizi na uzoefu wa wadau wa uhifadhi kuhusu namna ujirani mwema unavyochangia maendeleo ya wananchi na uhifadhi endelevu.TANAPA Podcast – Msimu wa 2 | Episodi ya 02Mwongoza kipindi: Happiness Sam (Afisa Uhifadhi Daraja la Pili)Wageni:• Lameck Matungwa – Afisa Uhifadhi Mwandamizi, Kitengo cha Ujirani Mwema, Hifadhi ya Taifa Milima Mahale• Rose Machange – Mwenyekiti, Kikundi cha Umoja wa Maendeleo Ngurdoto (UMANGU)Eneo: Arusha Inatoka: Jumatatu, 03 Agosti 2026Usikose kufuatilia TANAPA Podcast kupitia YouTube Music, Spotify, Apple Podcasts, Amazon Music na majukwaa mengine zaidi ya 30 duniani.TANAPA PODCAST – Hifadhi Zetu, Sauti Yetu.</p>