SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahilihace 6 días · 10 min

Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwako

Makala Leo:Maana ya kuongezeka kwa dhiki ya kiuchumi nchini Australia kwakohace 6 días10 min

Dhiki ya kiuchumi nchini Australia inazidi kuongezeka. Uchambuzi mpya kutoka kwa Kamati ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Australia (CEDA) umebaini kuwa hali hiyo imerejea karibu na viwango vya juu vilivyoshuhudiwa baada ya janga, na inatarajiwa kubaki juu zaidi ya wastani wa kihistoria wa hivi karibuni angalau hadi mwisho wa mwaka 2028.