Sikio podcast

← Sikio podcast13 ene 2025 · 37 min

Uhusiano kati ya namna unavyojiona (self image) na kiwango chako cha maendeleo

Uhusiano kati ya namna unavyojiona (self image) na kiwango chako cha maendeleo13 ene 202537 min

Je unaona unaweza au huwezi? Unajiona mshindi au kinyume?

Je umewahi kujua uhusiano wa maendeleo yako na unavyojiona? Ungana nasi katika episode hii ili tujifunze pamoja na kukua pamoja.