SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahiliil y a 6 jours · 14 min

Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberra

Taarifa ya Habari:Wanasiasa na viongozi wa jamii wakutana kujadili kuhusu uhamiaji na tamaduni mbalimbali mjini Canberrail y a 6 jours14 min

Waziri Mkuu Anthony Albanese ame eleza mkutano wa wanasiasa na viongozi wa jamii za tamaduni mbalimbali kuwa, karibu wanawake wahamiaji na wakimbizi 350,000 wanafanya kazi katika nafasi zilizo chini ya kiwango cha ujuzi walionao.