
← MSASA Podcast27 sep · 1 u 01 min
Tunatembea na Hofu ya PESA
Tunatembea na Hofu ya PESA
Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baa...