
← Pastor Neema Tony Osborn6 dagen geleden · 1 u 33 min
The Wısdom from Above X
The Wısdom from Above X
Hekima ya Mungu ni nuru inayotuongoza tunapokutana na maamuzi magumu.Hutupa uwezo wa kuona kile ambacho macho ya kawaida hayawezi kuona.Hutufundisha kuchagua kwa usahihi, kutenda kwa busara na kuishi kwa kusudi.Kila siku, mwombe Mungu akujaze hekima yake kwa ajili ya safari yako.
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give