← TANAPA PODCAST31 aug · 52 min
SE02 EP03: Utalii wa Ndani na Nguvu ya Vyombo vya Habari katika Kutangaza Uzuri wa Serengeti

Nafasi ya vyombo vya habari katika kuhamasisha Watanzania kutembelea vivutio vya utalii.

Sikiliza TANAPA Podcast – Season 2, Episode 03 kwa mazungumzo maalum kuhusu utalii wa ndani, nafasi ya vyombo vya habari na namna tunavyoweza kuitangaza Tanzania kwa Watanzania na dunia.

Jumatatu, 31.08.2026

Eneo: Serengeti

Mwongoza Kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena

Ni mwendo wa bandika bandua!

Wageni: Rashid suluhu Hassan - Mkurugenzi SUNET TV Zanzibar

Yusuph Khamis- Mwandishi wa habari

TANAPA PODCAST — HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.

#TANAPAPodcast #TANAPADigital #TANAPAUpdates #TanzaniaParks #serengeti