SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahilivor 6 Tagen · 6 Min.

Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia

Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australiavor 6 Tagen6 Min.

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.