SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili6 dagen geleden · 6 min

Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia

Mumbi afunguka kuhusu mapokezi ya tamasha ya filamu zaki Afrika nchini Australia6 dagen geleden6 min

Wanachama wa Jumuiya zawa Afrika wanao ishi mjini Sydney, walijumuika katika ukumbi wa maarufu wa Opera House na Events Cinema kushiriki katika tamasha ya kila mwaka ya filamu zaki Afrika kuanzia 3-6 Septemba.