SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili16. Okt. · 7 Min.

Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC

Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC16. Okt.7 Min.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliwa na changamoto katika juhudi za kudhibiti Ebola, baada ya chama cha wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka.