SBS Swahili - SBS Swahili

← SBS Swahili - SBS Swahili16 oct · 7 min

Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC

Yaliyojiri Afrika:Wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka DRC16 oct7 min

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inakabiliwa na changamoto katika juhudi za kudhibiti Ebola, baada ya chama cha wahudumu wa afya kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati maambukizi na vifo vikiendelea kuongezeka.