TANAPA PODCAST

← TANAPA PODCAST3 Aug · 49 min

S02 EP02 - Ujirani Mwema na Faida Zake kwa Jamii

S02 EP02 - Ujirani Mwema na Faida Zake kwa Jamii3 Aug49 min

Katika episodi hii utasikia simulizi, uzoefu na ushuhuda kutoka kwa wataalamu wa uhifadhi pamoja na wanufaika wa programu za ujirani mwema, wakieleza namna uhifadhi unavyochangia maendeleo ya wananchi na ustawi wa jamii.

Eneo: Arusha

Mwongoza Kipindi:

Afisa Uhifadhi Daraja la Pili, Happiness Sam

Wageni:

​ Afisa Uhifadhi Mwandamizi Lameck Matungwa – Kitengo cha Ujirani Mwema, Hifadhi ya Taifa Milima Mahale

​ Rose Machange – Mwenyekiti, Kikundi cha Umoja wa Maendeleo Ngurdoto (UMANGU)

Tazama sasa kupitia YouTube na usisahau ku-like, ku-comment, kushare na ku-subscribe ili usipitwe na episodi zijazo.

TANAPA PODCAST – HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.